LLL 1 - Akisakinet Ka Akuj [Tazama, Sikiliza & Uishi 1 Kuanza na MUNGU] - Karamojong
Je, rekodi hii ya sauti ni muhimu?
Kitabu cha 1 cha mfululizo wa sauti na kuona na hadithi za Biblia za Adamu, Nuhu, Ayubu, Ibrahimu. Kwa ajili ya uinjilisti, upandaji kanisa na mafundisho ya Kikristo ya utaratibu.
Nambari ya Programu: 67425
Urefu wa Programu: 38:58
Jina la lugha: Karamojong
Soma hati
Vipakuliwa na Kuagiza
1. Akiteyenunet [Utangulizi]
2. Pic 1 → Adam Ka Ngitiyang [Picha 1 (Picha ya kwanza: Adamu na wanyama)]
3. Pic 2 → Aberu Ka Adam [Picha 2 (Picha ya pili: Vituvyote mwanadamu alivyohitaji)]
4. Pic 3 → Emu Alomanikor [Picha 3 (Picha ya tatu: Dhambi iliingia)]
5. Pic 4 → Adam Ka Epa Alokinga Emanikor [Picha 4 (Picha ya nne: Matokeo ya dhambi)]
6. Pic 5 → Noa Ka Ataker Ngina Apolon [Picha 5 (Picha ya tano: Nuhu mtu wa haki)]
7. Pic 6 → Akalele Ngina Apolon [Picha 6 (Picha ya sita: Mafuriko yakaja)]
8. Pic 7 → Alokakinet Ka Akiikinet Ka Akuj [Picha 7 (Picha ya saba: Upinde wa Mvua ni ahadi ya Mungu)]
9. Pic 8 → Aduketait Ngina Alobabilon [Picha 8 (Picha ya nane: Kizazi cha Nuhu)]
10. Pic 9 → Kimaima Yob Akuj [Picha 9 (Picha ya tisa: Ayubu mtu mkamilifu)]
11. Pic 10 →Yob Anakigoro [Picha 10 (Picha ya kumi: Wakati wa mateso makubwa)]
12. Pic 11 → Toriam Yob Ngican [Picha 11 (Picha ya kumi na moja: Mateso ya Ayubu)]
13. Pic 12 → Kinyaku Akuj Yob Lopite [Picha 12 (Picha ya kumi na Mbili: Kupona kwa Ayubu)]
14. Akiteyenunet [Utangulizi]
15. Pic 13 → Toesik Aburam Akwap Keng [Picha 13 (Picha ya kumi na tatu: Abramu alimtii Mungu)]
16. Pic 14 → Aburam Ka Lot [Picha 14 (Picha ya kumi na nne: Uchaguzi mmbaya)]
17. Pic 15 → Kiriyamun Aburam Ka Erosit Ke Ekisil [Picha 15 (Picha ya kumi na tano: Abramu amsaidia Lutu)]
18. Pic 16 → Kimar Aburam Ngikacer [Picha 16 (Picha ya Kumi na sita: Mungu alimpa Abramu ahadi)]
19. Pic 17 → Ikoku Ismail [Picha 17 (Picha ya kumi na saba: Kuzaliwa kwa Ishmaeli)]
20. Pic 18 → Tokeni Sara [Picha 18 (Picha ya kumi na nane: Abramu ahadidiwa na Mungu)]
21. Pic 19 → Kilip [Picha 19 (Picha ya kumi na tisa: Ibrahimu aliwahurumia watu Sodoma)]
22. Pic 20 → Aburam Anguna A Sodoma [Picha 20 (Picha ya ishirini: Mungu alimjaribu Ibrahimu)]
23. Pic 21 → Ekasikout Aburam Ka Ngiketiyak Keng [Picha 21 (Picha ya ishirini na moja: Mke wa Isaka)]
24. Pic 22 → Kidounoe Yesu [Picha 22 (Picha ya ishirini na mbili: Ahadi za Mungu)]
25. Pic 23 → Atwanare Ayesu [Picha 23 (Picha ya ishirini na tatu: Yesu alikuwa kwa ajiri yetu)]
26. Pic 24 → Eyari Yesu [Picha 24 (Picha ya ishirini na nne: Ishi kwa kuokolewa)]
Vipakuliwa na Kuagiza
- Program Set MP3 Audio Zip (32.7MB)
- Program Set Low-MP3 Audio Zip (8.8MB)
- Pakua orodha ya kucheza ya M3U
- MP4 Slideshow (65.9MB)
- AVI for VCD Slideshow (15.3MB)
- 3GP Slideshow (5MB)
Rekodi hizi za sauti zimeundwa kwa ajili ya uinjilisti na mafundisho ya kimsingi ya kibiblia ili kuleta ujumbe wa injili kwa watu wasiojua kusoma na kuandika au wanaotoka kwenye mapokeo ya mdomo, hasa makundi ya watu ambao hawajafikiwa.
Copyright © 2022 GRN. This recording may be freely copied for personal or local ministry use on condition that it is not modified, and it is not sold or bundled with other products which are sold.
Wasiliana nasi for inquiries about allowable use of these recordings, or to obtain permission to redistribute them in ways other than allowed above.
Kufanya rekodi za sauti ni gharama kubwa. Tafadhali zingatia kuchangia GRN ili kuwezesha huduma hii kuendelea.
Tungependa kusikia maoni yako kuhusu jinsi unavyoweza kutumia rekodi hii ya sauti, na matokeo yake ni nini. Wasiliana na laini ya Maoni.