Changia
Kusimulia hadithi ya Yesu katika kila lugha
Maono ya GRN ni kwamba watu wapate kusikia na kuelewa neno la Mungu katika lugha ya mioyo yao - hasa wale ambao ni wawasilianaji wa mdomo na wale ambao hawana Maandiko kwa namna ambayo wanaweza kufikia.