Maki Deuso Nanari Fame [Tazama, Sikiliza & Uishi 4 Watumishi wa MUNGU] - Banawa
Je, rekodi hii ya sauti ni muhimu?
Kitabu cha 4 cha mfululizo wa sauti na kuona na hadithi za Biblia za Ruthu, Samweli, Daudi, Eliya. Kwa ajili ya uinjilisti, upandaji kanisa na mafundisho ya Kikristo ya utaratibu.
Nambari ya Programu: 64109
Urefu wa Programu: 1:03:56
Jina la lugha: Banawa
Soma hati
Vipakuliwa na Kuagiza
1. Utangulizi ▪ Picha 1 (Picha ya kwaza: Familia ilikimbia njaa) ▪ Wimbo: Jesus is in our hearts
2. Picha 2 (Picha ya pili: Naomi na Ruthu warudi Israeli) ▪ Wimbo: Jesus is the son of God
3. Picha 3 (Picha ya tatu: Ruthu akiwa katika mavuno) ▪ Wimbo: Jesus loves us
4. Picha 4 (Picha ya nne: Ruthu na Boazi wakia katika sakafu ya kupuria nafaka) ▪ Wimbo: Jesus is here
5. Picha 5 (Picha ya tano: Boazi na Wazee wa Bethelehemu) ▪ Wimbo: Jesus did like friends
6. Picha 6 (Picha ya Sita: Mariamu na Malaika wa Mungu) ▪ Wimbo: The children of God are many
7. Picha 7 (Picha ya Saba: Hana amuomba Mungu) ▪ Wimbo: Jesus comes to stay here among us
8. Picha 8 (Picha ya nane: Mtoto Samweli katika nyumba ya Mungu) ▪ Wimbo: Adam and Eve
9. Picha 9 (Picha ya tisa: Samweli awaombea Israeli) ▪ Wimbo: The moon
10. Picha 10 (Picha ya kumi: Samweli ammiminia Sauli mafuta) ▪ Wimbo: The Son of God came to me
11. Picha 11 (Picha kumi na moja: Sauli achana joho la Samweli) ▪ Wimbo: I did things wrong, but God cleansed my sin
12. Picha 12 (Picha ya kumi na mbili: Yesu akiwa nyumbani mwa Baba) ▪ Wimbo: Jesus is in our hearts
13. Picha 13 (Picha ya kumi na tatu: Daudi Mchungaji wa Kondoo) ▪ Wimbo: Jesus is the Son of God
14. Picha 14 (Picha ya kumi na nne: Daudi na Goliathi) ▪ Wimbo: Jesus loves us
15. Picha 15 (Picha ya kumi na tano: Sauli Ajaribu Kumuua Daudi) ▪ Wimbo: Jesus is here
16. Picha 16 (Picha ya kumi na sita: Daudi ahurumia maisha ya Sauli) ▪ Wimbo: Jesus did like friends
17. Picha 17 (Picha ya kumi na saba: Daudi Awa Mfalme) ▪ Wimbo: The children of God are many
18. Picha 18 (Picha kumi na nane: Daudi na Bath-sheba) ▪ Wimbo: Jesus comes to stay here among us
19. Picha 19 (Picha ya kumi na Tisa: Nyumba ya Mungu) ▪ Wimbo: Adam and Eve
20. Picha 20 (Picha ya Ishirini: Yesu Aingia Yerusalemu) ▪ Wimbo: The moon
21. Picha 21 (Picha ya ishirini na moja: Ndege ampa chakula Eliya) ▪ Wimbo: The Son of God came to me
22. Picha 22 (Picha ya ishirini na mbili: Eliya na Moto wa Mungu) ▪ Wimbo: I did things wrong, but God cleansed my sin
23. Picha 23 (Picha ya ishirini na tau: Eliya Apaa Mbinguni) ▪ Wimbo: Jesus is in our hearts
24. Picha 24 (Picha ya ishirini na nne: Eliya pamoja na Yesu na Musa) ▪ Wimbo: Jesus is the Son of God
25. Hitimisho ▪ Wimbo: Jesus loves us
Vipakuliwa na Kuagiza
- Program Set MP3 Audio Zip (62.7MB)
- Program Set Low-MP3 Audio Zip (15.3MB)
- Pakua orodha ya kucheza ya M3U
- MP4 Slideshow (85.4MB)
- AVI for VCD Slideshow (21.9MB)
- 3GP Slideshow (7.6MB)
Rekodi hizi za sauti zimeundwa kwa ajili ya uinjilisti na mafundisho ya kimsingi ya kibiblia ili kuleta ujumbe wa injili kwa watu wasiojua kusoma na kuandika au wanaotoka kwenye mapokeo ya mdomo, hasa makundi ya watu ambao hawajafikiwa.
Copyright © 2013 GRN. This recording may be freely copied for personal or local ministry use on condition that it is not modified, and it is not sold or bundled with other products which are sold.
Wasiliana nasi for inquiries about allowable use of these recordings, or to obtain permission to redistribute them in ways other than allowed above.
Kufanya rekodi za sauti ni gharama kubwa. Tafadhali zingatia kuchangia GRN ili kuwezesha huduma hii kuendelea.
Tungependa kusikia maoni yako kuhusu jinsi unavyoweza kutumia rekodi hii ya sauti, na matokeo yake ni nini. Wasiliana na laini ya Maoni.