Tazama, Sikiliza & Uishi 2 Wanaume Hodari wa MUNGU - Fulfulde
Je, rekodi hii ya sauti ni muhimu?
Kitabu cha 2 cha mfululizo wa sauti na kuona na hadithi za Biblia za Yakobo, Yusufu, Musa. Kwa ajili ya uinjilisti, upandaji kanisa na mafundisho ya Kikristo ya utaratibu.
Nambari ya Programu: 74763
Urefu wa Programu: 56:01
Jina la lugha: Fulfulde
Soma hati
Vipakuliwa na Kuagiza
1. Utangulizi & Picha 1 (Picha ya kwanza: Yakobo mdanganyifu)
2. Picha 2 (Picha ya pili: Ndoto ya Yakobo)
3. Picha 3 (Picha ya tatu: Yakobo na Labani)
4. Picha 4 (Picha ya nne: Yakobo akutana na Mungu)
5. Picha 5 (Picha ya tano: Ndoto ya Yusufu)
6. Picha 6 (Picha ya sita: Yusufu aliuzwa kama mtumwa)
7. Picha 7 (Picha ya saba: Yususfu akawa mtumwa uko Misri)
8. Picha 8 (Picha ya nane: Yusufu gerezani)
9. Picha 9 (Picha ya tisa: Ndoto ya mfalme)
10. Picha 10 (Picha ya kumi: Yusufu atawala Misri)
11. Picha 11 (Picha ya kumi na moja: Yusufu ajitambulisha kwa ndugu zake)
12. Picha 12 (Picha ya kumi na mbili: Israeli na Yusufu wakutana tena Misri)
13. Utangulizi & Picha 13 (Picha ya kumi na tatu: Mtoto Musa)
14. Picha 14 (Picha kumi na nne: Musa na kijiti kilicho waka moto)
15. Picha 15 (Picha ya kumi na tano: Musa alirudi Misri)
16. Picha 16 (Picha ya kumi na sita: Pasaka)
17. Picha 17 (Picha ya kumi na saba: Wana wa Israeli wavuka Bahari ya Shamu)
18. Picha 18 (Picha ya kumi na nane: Walikula Mana na maji jagwani)
19. Picha 19 (Picha ya kumi na tisa: Amri za Mungu)
20. Picha 20 (Picha ya ishirini: Nyoka wa shaba)
21. Picha 21 (Picha ya ishirini na moja: Kiongozi mkuu kuliko Musa)
22. Picha 22 (Picha ya ishirini na mbili: Yesu aliongoea na Musa)
23. Picha 23 (Picha ya ishirini na tatu: Yesu alikufa kwa ajili yetu)
24. Picha 24 (Picha ya ishirini na saba: Yesu yuhai leo)
Vipakuliwa na Kuagiza
- Program Set MP3 Audio Zip (55.3MB)
- Program Set Low-MP3 Audio Zip (14.1MB)
- Pakua orodha ya kucheza ya M3U
- MP4 Slideshow (92.4MB)
- AVI for VCD Slideshow (19.6MB)
- 3GP Slideshow (6.8MB)
Rekodi hizi za sauti zimeundwa kwa ajili ya uinjilisti na mafundisho ya kimsingi ya kibiblia ili kuleta ujumbe wa injili kwa watu wasiojua kusoma na kuandika au wanaotoka kwenye mapokeo ya mdomo, hasa makundi ya watu ambao hawajafikiwa.
Copyright © 1991 GRN. This recording may be freely copied for personal or local ministry use on condition that it is not modified, and it is not sold or bundled with other products which are sold.
Wasiliana nasi for inquiries about allowable use of these recordings, or to obtain permission to redistribute them in ways other than allowed above.
Kufanya rekodi za sauti ni gharama kubwa. Tafadhali zingatia kuchangia GRN ili kuwezesha huduma hii kuendelea.
Tungependa kusikia maoni yako kuhusu jinsi unavyoweza kutumia rekodi hii ya sauti, na matokeo yake ni nini. Wasiliana na laini ya Maoni.