Tazama, Sikiliza & Uishi 4 Watumishi wa MUNGU - Ganda
Je, rekodi hii ya sauti ni muhimu?
Kitabu cha 4 cha mfululizo wa sauti na kuona na hadithi za Biblia za Ruthu, Samweli, Daudi, Eliya. Kwa ajili ya uinjilisti, upandaji kanisa na mafundisho ya Kikristo ya utaratibu.
Nambari ya Programu: 73630
Urefu wa Programu: 58:51
Jina la lugha: Ganda
Soma hati
Vipakuliwa na Kuagiza
1. Utangulizi ▪ Picha 1 (Picha ya kwaza: Familia ilikimbia njaa) ▪ Music and Application
2. Picha 2 (Picha ya pili: Naomi na Ruthu warudi Israeli) ▪ Music and Application
3. Picha 3 (Picha ya tatu: Ruthu akiwa katika mavuno)
4. Picha 4 (Picha ya nne: Ruthu na Boazi wakia katika sakafu ya kupuria nafaka)
5. Picha 5 (Picha ya tano: Boazi na Wazee wa Bethelehemu) ▪ Music and Application
6. Picha 6 (Picha ya Sita: Mariamu na Malaika wa Mungu) ▪ Music and Application
7. Picha 7 (Picha ya Saba: Hana amuomba Mungu) ▪ Music and Application
8. Picha 8 (Picha ya nane: Mtoto Samweli katika nyumba ya Mungu) ▪ Music and Application
9. Picha 9 (Picha ya tisa: Samweli awaombea Israeli) ▪ Music and Application
10. Picha 10 (Picha ya kumi: Samweli ammiminia Sauli mafuta) ▪ Music and Application
11. Picha 11 (Picha kumi na moja: Sauli achana joho la Samweli) ▪ Music and Application
12. Picha 12 (Picha ya kumi na mbili: Yesu akiwa nyumbani mwa Baba) ▪ Music and Application ▪ Wimbo
13. Picha 13 (Picha ya kumi na tatu: Daudi Mchungaji wa Kondoo) ▪ Music and Application
14. Picha 14 (Picha ya kumi na nne: Daudi na Goliathi) ▪ Music and Application
15. Picha 15 (Picha ya kumi na tano: Sauli Ajaribu Kumuua Daudi) ▪ Music and Application
16. Picha 16 (Picha ya kumi na sita: Daudi ahurumia maisha ya Sauli) ▪ Music and Application
17. Picha 17 (Picha ya kumi na saba: Daudi Awa Mfalme) ▪ Music and Application
18. Picha 18 (Picha kumi na nane: Daudi na Bath-sheba) ▪ Music and Application
19. Picha 19 (Picha ya kumi na Tisa: Nyumba ya Mungu) ▪ Music and Application
20. Picha 20 (Picha ya Ishirini: Yesu Aingia Yerusalemu) ▪ Wimbo
21. Picha 21 (Picha ya ishirini na moja: Ndege ampa chakula Eliya)
22. Picha 22 (Picha ya ishirini na mbili: Eliya na Moto wa Mungu)
23. Picha 23 (Picha ya ishirini na tau: Eliya Apaa Mbinguni)
24. Picha 24 (Picha ya ishirini na nne: Eliya pamoja na Yesu na Musa)
25. Wimbo
Rekodi hii inaweza isifikie viwango vya GRN vya ubora wa sauti. Tunatumaini kwamba thamani ya ujumbe katika lugha inayopendelewa na wasikilizaji itashinda vikengeusha-fikira vyovyote. Tafadhali tuambie maoni yako kuhusu rekodi.
Vipakuliwa na Kuagiza
- Program Set MP3 Audio Zip (53.4MB)
- Program Set Low-MP3 Audio Zip (15.2MB)
- Pakua orodha ya kucheza ya M3U
- MP4 Slideshow (89.8MB)
- AVI for VCD Slideshow (22MB)
- 3GP Slideshow (7.3MB)
Rekodi hizi za sauti zimeundwa kwa ajili ya uinjilisti na mafundisho ya kimsingi ya kibiblia ili kuleta ujumbe wa injili kwa watu wasiojua kusoma na kuandika au wanaotoka kwenye mapokeo ya mdomo, hasa makundi ya watu ambao hawajafikiwa.
Copyright © 1990 GRN. This recording may be freely copied for personal or local ministry use on condition that it is not modified, and it is not sold or bundled with other products which are sold.
Wasiliana nasi for inquiries about allowable use of these recordings, or to obtain permission to redistribute them in ways other than allowed above.
Kufanya rekodi za sauti ni gharama kubwa. Tafadhali zingatia kuchangia GRN ili kuwezesha huduma hii kuendelea.
Tungependa kusikia maoni yako kuhusu jinsi unavyoweza kutumia rekodi hii ya sauti, na matokeo yake ni nini. Wasiliana na laini ya Maoni.