LLL3 - Dzidudu To Mawu Dzi [Tazama, Sikiliza & Uishi 3 Ushindi kupitia kwa MUNGU] - Waci Gbe
Je, rekodi hii ya sauti ni muhimu?
Kitabu cha 3 cha mfululizo wa sauti na kuona na hadithi za Biblia za Yoshua, Debora, Gideoni, Samsoni. Kwa ajili ya uinjilisti, upandaji kanisa na mafundisho ya Kikristo ya utaratibu.
Nambari ya Programu: 67821
Urefu wa Programu: 34:53
Jina la lugha: Waci Gbe
Soma hati
Vipakuliwa na Kuagiza
1. It is going to better and better ▪ Utangulizi
2. Picha 1 Yoshua Fights The Amalekites (Picha ya kwanza: Yoshua afanya vita na Waamaleki)
3. Picha 2 The Spies with the Fruit of Canaan (Picha pili: Wapelezi walirudi na matunda kutoka Kanaani)
4. Picha 3 The People of Israel Cross the River (Picha ya tatu: Watu wa Israeli walivuka mto Yordani)
5. Picha 4 The Walls of Jericho Fall Down (Picha ya nne: Ukuta wa Yeliko ulianguka)
6. Picha 5 Israel Flees from Ai (Picha ya tano: Israeli walishinda na watu wa mji wa Ai)
7. Picha 6 The Judgment of Achan (Picha ya sita: Hukumu ya Akani)
8. Picha 7 The Sun and the Moon Stand Still (Picha ya saba: Jua na Mwezi vili simama)
9. Picha 8 Yoshua Instructs the People (Picha ya nane: Yoshua awapa usia watu wa Israeli)
10. Picha 9 Deborah Speaks for God (Picha ya tisa: Debora amtia moyo Baraka)
11. Picha 10 God Helps Defeat Sisera
12. Picha 11 Jael Kills Sisera
13. Picha 12 Israel Celebrates (Picha ya kumi na mbili: Sherehe ya Wana wa Israeli)
14. It is Jesus Who gives freedom ▪ Picha 13 Gideon And The Angel Of God (Picha ya kumi na tatu: Gideoni na Malaika)
15. Picha 14 Gideon Destroys The Idols (Picha ya kumi na nne: Gideoni alibomoa madhabau ya baali)
16. Picha 15 Gideon’s Army Drinks The Water (Picha ya kumi na tano: Gideoni na Askari wake walikunya maji)
17. Picha 16 Gideon’s Men Surround The Camp Of Midian (Picha ya kumi na sita: Gideoni na Askari wake waizingira kambi ya Waminidani)
18. Picha 17 Samson Kills A Lion (Picha ya kumi na saba: Samsoni Alimuwa Simba)
19. Picha 18 Samson And The Burning Foxes (Picha ya kumi na nane: Samsoni na Mbweha wenye moto)
20. Picha 19 The Philistines Cut Samson’s Hair (Picha ya kumi na tisa: Wafilisti walinyoa nywele za Samsoni)
21. Picha 20 Samson Destroys The Philistines (Picha ya ishirini: Samsoni Aliwaangamiza Wafilisti)
22. Picha 21 Jesus Drives Out Evil Spirits (Picha ya ishirini na moja: Yesu Awafukuza Pepo Wabaya)
23. Picha 22 Jesus Drives Out Evil Men (Picha ya ishirini na mbili: Yesu Awafukuza Wafanya Biashara)
24. Picha 23 Jesus Is Alive After Death (Picha ya ishirini na tatu: Yesu alifufuka baada ya kufa)
25. Picha 24 The Soldier For God (Picha ya ishirini na nne: Askari wa Mungu)
26. No one will separate me from Jesus..
Vipakuliwa na Kuagiza
- Program Set MP3 Audio Zip (26.9MB)
- Program Set Low-MP3 Audio Zip (7.3MB)
- Pakua orodha ya kucheza ya M3U
- MP4 Slideshow (59.6MB)
- AVI for VCD Slideshow (14MB)
- 3GP Slideshow (4.5MB)
Rekodi hizi za sauti zimeundwa kwa ajili ya uinjilisti na mafundisho ya kimsingi ya kibiblia ili kuleta ujumbe wa injili kwa watu wasiojua kusoma na kuandika au wanaotoka kwenye mapokeo ya mdomo, hasa makundi ya watu ambao hawajafikiwa.
Copyright © 2023 GRN. This recording may be freely copied for personal or local ministry use on condition that it is not modified, and it is not sold or bundled with other products which are sold.
Wasiliana nasi for inquiries about allowable use of these recordings, or to obtain permission to redistribute them in ways other than allowed above.
Kufanya rekodi za sauti ni gharama kubwa. Tafadhali zingatia kuchangia GRN ili kuwezesha huduma hii kuendelea.
Tungependa kusikia maoni yako kuhusu jinsi unavyoweza kutumia rekodi hii ya sauti, na matokeo yake ni nini. Wasiliana na laini ya Maoni.