LLL 3 - Fandreseañe Amy Ty Alalan'Añahare [Tazama, Sikiliza & Uishi 3 Ushindi kupitia kwa MUNGU] - Malagasy, Ntandroy
Je, rekodi hii ya sauti ni muhimu?
Kitabu cha 3 cha mfululizo wa sauti na kuona na hadithi za Biblia za Yoshua, Debora, Gideoni, Samsoni. Kwa ajili ya uinjilisti, upandaji kanisa na mafundisho ya Kikristo ya utaratibu.
Nambari ya Programu: 66472
Urefu wa Programu: 43:52
Jina la lugha: Malagasy, Ntandroy
Soma hati
Vipakuliwa na Kuagiza
1. 1 M3 Mihaja i Androy-Hazo najaly & Saontsy Voalohae [Wimbo & Utangulizi]
2. Sare 1 [Picha 1 (Picha ya kwanza: Yoshua afanya vita na Waamaleki)]
3. Sare 2 [Picha 2 (Picha pili: Wapelezi walirudi na matunda kutoka Kanaani)]
4. Sare 3 [Picha 3 (Picha ya tatu: Watu wa Israeli walivuka mto Yordani)]
5. Sare 4 [Picha 4 (Picha ya nne: Ukuta wa Yeliko ulianguka)]
6. Sare 5 [Picha 5 (Picha ya tano: Israeli walishinda na watu wa mji wa Ai)]
7. Sare 6 [Picha 6 (Picha ya sita: Hukumu ya Akani)]
8. Sare 7 [Picha 7 (Picha ya saba: Jua na Mwezi vili simama)]
9. Sare 8 [Picha 8 (Picha ya nane: Yoshua awapa usia watu wa Israeli)]
10. Sare 9 [Picha 9 (Picha ya tisa: Debora amtia moyo Baraka)]
11. Sare 10 [Picha 10 (Picha ya kumi: Mungu amsidia Baraka kumpiga Sisera)]
12. Sare 11 [Picha 11 (Picha ya kumi na moja: Yaeli amuwa Sisera)]
13. Sare 12 [Picha 12 (Picha ya kumi na mbili: Sherehe ya Wana wa Israeli)]
14. 6 M6 Ankazo najaly
15. Sare 13 [Picha 13 (Picha ya kumi na tatu: Gideoni na Malaika)]
16. Sare 14 [Picha 14 (Picha ya kumi na nne: Gideoni alibomoa madhabau ya baali)]
17. Sare 15 [Picha 15 (Picha ya kumi na tano: Gideoni na Askari wake walikunya maji)]
18. Sare 16 [Picha 16 (Picha ya kumi na sita: Gideoni na Askari wake waizingira kambi ya Waminidani)]
19. Sare 17 [Picha 17 (Picha ya kumi na saba: Samsoni Alimuwa Simba)]
20. Sare 18 [Picha 18 (Picha ya kumi na nane: Samsoni na Mbweha wenye moto)]
21. Sare 19 [Picha 19 (Picha ya kumi na tisa: Wafilisti walinyoa nywele za Samsoni)]
22. Sare 20 [Picha 20 (Picha ya ishirini: Samsoni Aliwaangamiza Wafilisti)]
23. Sare 21 [Picha 21 (Picha ya ishirini na moja: Yesu Awafukuza Pepo Wabaya)]
24. Sare 22 [Picha 22 (Picha ya ishirini na mbili: Yesu Awafukuza Wafanya Biashara)]
25. Sare 23 [Picha 23 (Picha ya ishirini na tatu: Yesu alifufuka baada ya kufa)]
26. Sare 24 [Picha 24 (Picha ya ishirini na nne: Askari wa Mungu)]
27. 5 M7 Nivagnombelogne ty Jesoa
Vidokezo kuhusu kurekodi
Look Listen and Live - Vazoho, Tsendreño, Iaiño
Vipakuliwa na Kuagiza
- Program Set MP3 Audio Zip (36.4MB)
- Program Set Low-MP3 Audio Zip (10.3MB)
- Pakua orodha ya kucheza ya M3U
- MP4 Slideshow (74.8MB)
- AVI for VCD Slideshow (16.7MB)
- 3GP Slideshow (5.6MB)
Rekodi hizi za sauti zimeundwa kwa ajili ya uinjilisti na mafundisho ya kimsingi ya kibiblia ili kuleta ujumbe wa injili kwa watu wasiojua kusoma na kuandika au wanaotoka kwenye mapokeo ya mdomo, hasa makundi ya watu ambao hawajafikiwa.
Copyright © 2019 GRN & Creative Commons. This recording may be freely copied for personal or local ministry use on condition that it is not modified, and it is not sold or bundled with other products which are sold. See notes for specific additional copright information for the Creative Commons content.
Wasiliana nasi for inquiries about allowable use of these recordings, or to obtain permission to redistribute them in ways other than allowed above.
Kufanya rekodi za sauti ni gharama kubwa. Tafadhali zingatia kuchangia GRN ili kuwezesha huduma hii kuendelea.
Tungependa kusikia maoni yako kuhusu jinsi unavyoweza kutumia rekodi hii ya sauti, na matokeo yake ni nini. Wasiliana na laini ya Maoni.