انظر.اسمع. و احيا ٣: نصرة مع الله [Tazama, Sikiliza & Uishi 3 Ushindi kupitia kwa MUNGU] - Arabic, Ta'izzi-Adeni: Hojeria
Je, rekodi hii ya sauti ni muhimu?
Kitabu cha 3 cha mfululizo wa sauti na kuona na hadithi za Biblia za Yoshua, Debora, Gideoni, Samsoni. Kwa ajili ya uinjilisti, upandaji kanisa na mafundisho ya Kikristo ya utaratibu.
Nambari ya Programu: 65151
Urefu wa Programu: 1:23:03
Jina la lugha: Arabic, Ta'izzi-Adeni: Hojeria
Soma hati
Vipakuliwa na Kuagiza
1. استهلالي ♦ يسوع ضارب مع ميليكي [Utangulizi ▪ Picha 1 (Picha ya kwanza: Yoshua afanya vita na Waamaleki)]
2. رجعو معاهم الثمار من كنعان [Picha 2 (Picha pili: Wapelezi walirudi na matunda kutoka Kanaani)]
3. اسراإيين عبرو النهر شام [Picha 3 (Picha ya tatu: Watu wa Israeli walivuka mto Yordani)]
4. الحدود يليكو طاحة [Picha 4 (Picha ya nne: Ukuta wa Yeliko ulianguka)]
5. اسراييليين قد فازو لارض أي [Picha 5 (Picha ya tano: Israeli walishinda na watu wa mji wa Ai)]
6. حكم الاكاني [Picha 6 (Picha ya sita: Hukumu ya Akani)]
7. الشمس والقمر وقفو [Picha 7 (Picha ya saba: Jua na Mwezi vili simama)]
8. يوشوه يوصي ابنا اسرايليين [Picha 8 (Picha ya nane: Yoshua awapa usia watu wa Israeli)]
9. دبوره يشجع علي بركه [Picha 9 (Picha ya tisa: Debora amtia moyo Baraka)]
10. الله يساعد براكه لكي يضرب سسيراه [Picha 10 (Picha ya kumi: Mungu amsidia Baraka kumpiga Sisera)]
11. ياييلي قتل سسيراه [Picha 11 (Picha ya kumi na moja: Yaeli amuwa Sisera)]
12. فرحة للبي اسراييل [Picha 12 (Picha ya kumi na mbili: Sherehe ya Wana wa Israeli)]
13. جديوني والملاكة [Picha 13 (Picha ya kumi na tatu: Gideoni na Malaika)]
14. جديوني هده المذهب حق بالي [Picha 14 (Picha ya kumi na nne: Gideoni alibomoa madhabau ya baali)]
15. جديوني مع العسكر شربو الماء [Picha 15 (Picha ya kumi na tano: Gideoni na Askari wake walikunya maji)]
16. جديوني مع العسكر دورو علي الجران ومنداني [Picha 16 (Picha ya kumi na sita: Gideoni na Askari wake waizingira kambi ya Waminidani)]
17. سمسون قتله السد [Picha 17 (Picha ya kumi na saba: Samsoni Alimuwa Simba)]
18. سمسون والكلب النار [Picha 18 (Picha ya kumi na nane: Samsoni na Mbweha wenye moto)]
19. الفلسطينين حلقو راس سمسون [Picha 19 (Picha ya kumi na tisa: Wafilisti walinyoa nywele za Samsoni)]
20. سمسون غرب الفلسطينين [Picha 20 (Picha ya ishirini: Samsoni Aliwaangamiza Wafilisti)]
21. يسوع طردو الجن [Picha 21 (Picha ya ishirini na moja: Yesu Awafukuza Pepo Wabaya)]
22. يسوع طردو البايع والشراء [Picha 22 (Picha ya ishirini na mbili: Yesu Awafukuza Wafanya Biashara)]
23. يسوع حي الثاني بعد الموت [Picha 23 (Picha ya ishirini na tatu: Yesu alifufuka baada ya kufa)]
24. العسكر الرب [Picha 24 (Picha ya ishirini na nne: Askari wa Mungu)]
Vipakuliwa na Kuagiza
- Program Set MP3 Audio Zip (84.1MB)
- Program Set Low-MP3 Audio Zip (19.4MB)
- Pakua orodha ya kucheza ya M3U
- MP4 Slideshow (143.1MB)
- AVI for VCD Slideshow (27.6MB)
- 3GP Slideshow (10.1MB)
Rekodi hizi za sauti zimeundwa kwa ajili ya uinjilisti na mafundisho ya kimsingi ya kibiblia ili kuleta ujumbe wa injili kwa watu wasiojua kusoma na kuandika au wanaotoka kwenye mapokeo ya mdomo, hasa makundi ya watu ambao hawajafikiwa.
Copyright © 2014 GRN. This recording may be freely copied for personal or local ministry use on condition that it is not modified, and it is not sold or bundled with other products which are sold.
Wasiliana nasi for inquiries about allowable use of these recordings, or to obtain permission to redistribute them in ways other than allowed above.
Kufanya rekodi za sauti ni gharama kubwa. Tafadhali zingatia kuchangia GRN ili kuwezesha huduma hii kuendelea.
Tungependa kusikia maoni yako kuhusu jinsi unavyoweza kutumia rekodi hii ya sauti, na matokeo yake ni nini. Wasiliana na laini ya Maoni.