انظر، اسمع، و احيا ١: بداية مع الله [Tazama, Sikiliza & Uishi 1 Kuanza na MUNGU] - Arabic, Ta'izzi-Adeni: Hojeria
Je, rekodi hii ya sauti ni muhimu?
Kitabu cha 1 cha mfululizo wa sauti na kuona na hadithi za Biblia za Adamu, Nuhu, Ayubu, Ibrahimu. Kwa ajili ya uinjilisti, upandaji kanisa na mafundisho ya Kikristo ya utaratibu.
Nambari ya Programu: 65149
Urefu wa Programu: 1:36:52
Jina la lugha: Arabic, Ta'izzi-Adeni: Hojeria
Soma hati
Vipakuliwa na Kuagiza
1. استهلالي ♦ ادم وحواء [Utangulizi ▪ Picha 1 (Picha ya kwanza: Adamu na wanyama)]
2. كل شي ما يحتاج الانسان [Picha 2 (Picha ya pili: Vituvyote mwanadamu alivyohitaji)]
3. دخل الزب [Picha 3 (Picha ya tatu: Dhambi iliingia)]
4. اظها الذنب [Picha 4 (Picha ya nne: Matokeo ya dhambi)]
5. نوح انسا الحق [Picha 5 (Picha ya tano: Nuhu mtu wa haki)]
6. جاء القضايات [Picha 6 (Picha ya sita: Mafuriko yakaja)]
7. قوس قرح هو وعد الله [Picha 7 (Picha ya saba: Upinde wa Mvua ni ahadi ya Mungu)]
8. جيل الله نوح [Picha 8 (Picha ya nane: Kizazi cha Nuhu)]
9. ايوب رجل المقدس [Picha 9 (Picha ya tisa: Ayubu mtu mkamilifu)]
10. في حين يعاني امام كبير [Picha 10 (Picha ya kumi: Wakati wa mateso makubwa)]
11. معانا ايوب [Picha 11 (Picha ya kumi na moja: Mateso ya Ayubu)]
12. الله لم يحرب مع ابراهيم [Picha 12 (Picha ya kumi na Mbili: Kupona kwa Ayubu)]
13. ابرام اطاع الل [Picha 13 (Picha ya kumi na tatu: Abramu alimtii Mungu)]
14. سوء الاختار [Picha 14 (Picha ya kumi na nne: Uchaguzi mmbaya)]
15. ابرام ينقذ اللوط [Picha 15 (Picha ya kumi na tano: Abramu amsaidia Lutu)]
16. لقد اعطاء الله وعده ابرام [Picha 16 (Picha ya Kumi na sita: Mungu alimpa Abramu ahadi)]
17. لما ولده ابراهيم [Picha 17 (Picha ya kumi na saba: Kuzaliwa kwa Ishmaeli)]
18. والله وعده يحدث ابراهيم [Picha 18 (Picha ya kumi na nane: Abramu ahadidiwa na Mungu)]
19. تعاطفو ابراهيم مع سدوم [Picha 19 (Picha ya kumi na tisa: Ibrahimu aliwahurumia watu Sodoma)]
20. الله لم يحرب مع ابراهيم [Picha 20 (Picha ya ishirini: Mungu alimjaribu Ibrahimu)]
21. زوجت اسحاق [Picha 21 (Picha ya ishirini na moja: Mke wa Isaka)]
22. وعود الله [Picha 22 (Picha ya ishirini na mbili: Ahadi za Mungu)]
23. كان يسوع قد يسبح بالنسبه لنا [Picha 23 (Picha ya ishirini na tatu: Yesu alikuwa kwa ajiri yetu)]
24. تمت حفظ الحياه [Picha 24 (Picha ya ishirini na nne: Ishi kwa kuokolewa)]
Vipakuliwa na Kuagiza
- MP3 Audio ZIP (99MB)
- Low-MP3 Audio ZIP (22.9MB)
- Pakua orodha ya kucheza ya M3U
- MPEG4 Slideshow (158.8MB)
- AVI for VCD Slideshow (31.6MB)
- 3GP Slideshow (11.8MB)
Rekodi hizi za sauti zimeundwa kwa ajili ya uinjilisti na mafundisho ya kimsingi ya kibiblia ili kuleta ujumbe wa injili kwa watu wasiojua kusoma na kuandika au wanaotoka kwenye mapokeo ya mdomo, hasa makundi ya watu ambao hawajafikiwa.
Copyright © 2014 GRN. This recording may be freely copied for personal or local ministry use on condition that it is not modified, and it is not sold or bundled with other products which are sold.
Wasiliana nasi for inquiries about allowable use of these recordings, or to obtain permission to redistribute them in ways other than allowed above.
Kufanya rekodi za sauti ni gharama kubwa. Tafadhali zingatia kuchangia GRN ili kuwezesha huduma hii kuendelea.
Tungependa kusikia maoni yako kuhusu jinsi unavyoweza kutumia rekodi hii ya sauti, na matokeo yake ni nini. Wasiliana na laini ya Maoni.