Tazama, Sikiliza & Uishi 3 Ushindi kupitia kwa MUNGU - Adele: Lower
Je, rekodi hii ya sauti ni muhimu?
Kitabu cha 3 cha mfululizo wa sauti na kuona na hadithi za Biblia za Yoshua, Debora, Gideoni, Samsoni. Kwa ajili ya uinjilisti, upandaji kanisa na mafundisho ya Kikristo ya utaratibu.
Nambari ya Programu: 33660
Urefu wa Programu: 29:31
Jina la lugha: Adele: Lower
Soma hati
Vipakuliwa na Kuagiza
1. Utangulizi ▪ Picha 1 (Picha ya kwanza: Yoshua afanya vita na Waamaleki) ▪ Picha 2 (Picha pili: Wapelezi walirudi na matunda kutoka Kanaani) ▪ Picha 3 (Picha ya tatu: Watu wa Israeli walivuka mto Yordani) ▪ Picha 4 (Picha ya nne: Ukuta wa Yeliko ulianguka) ▪ Picha 5 (Picha ya tano: Israeli walishinda na watu wa mji wa Ai) ▪ Picha 6 (Picha ya sita: Hukumu ya Akani) ▪ Picha 7 (Picha ya saba: Jua na Mwezi vili simama) ▪ Picha 8 (Picha ya nane: Yoshua awapa usia watu wa Israeli) ▪ Picha 9 (Picha ya tisa: Debora amtia moyo Baraka) ▪ Picha 10 (Picha ya kumi: Mungu amsidia Baraka kumpiga Sisera) ▪ Picha 11 (Picha ya kumi na moja: Yaeli amuwa Sisera) ▪ Picha 12 (Picha ya kumi na mbili: Sherehe ya Wana wa Israeli) ▪ Picha 13 (Picha ya kumi na tatu: Gideoni na Malaika) ▪ Picha 14 (Picha ya kumi na nne: Gideoni alibomoa madhabau ya baali)
Vidokezo kuhusu kurekodi
Same both sides.
Vipakuliwa na Kuagiza
- Program Set MP3 Audio Zip (26.9MB)
- Program Set Low-MP3 Audio Zip (6.1MB)
- Pakua orodha ya kucheza ya M3U
- MP4 Slideshow (52.3MB)
- AVI for VCD Slideshow (11MB)
- 3GP Slideshow (3.8MB)
Rekodi hizi za sauti zimeundwa kwa ajili ya uinjilisti na mafundisho ya kimsingi ya kibiblia ili kuleta ujumbe wa injili kwa watu wasiojua kusoma na kuandika au wanaotoka kwenye mapokeo ya mdomo, hasa makundi ya watu ambao hawajafikiwa.
Copyright © 2002 GRN. This recording may be freely copied for personal or local ministry use on condition that it is not modified, and it is not sold or bundled with other products which are sold.
Wasiliana nasi for inquiries about allowable use of these recordings, or to obtain permission to redistribute them in ways other than allowed above.
Kufanya rekodi za sauti ni gharama kubwa. Tafadhali zingatia kuchangia GRN ili kuwezesha huduma hii kuendelea.
Tungependa kusikia maoni yako kuhusu jinsi unavyoweza kutumia rekodi hii ya sauti, na matokeo yake ni nini. Wasiliana na laini ya Maoni.